Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Dodoma jiji mbali, wewe Hadi leo unashangilia kutoa draw na mimi

Huyo dodoma jiji kibonde mwenzako alikutoa jasho ukaambulia 1 umesahau
hivi timu gani ilikuwa inachelewesha muda ili wapate draw? Au unajitoa ufahamu kipa wenu alipojifanya kaumia baada ya kupangua shuti la kanoute.
 
Hahahhahaha mi naona safari ya ubingwa ipo wazi zaidi kwa Yanga kuliko kwenu kumbuka bado mna mechi za kimataifa na kuna swala la majeruhi ohooo!! Na usisahau misimu miwili yote iliyopita hamjatufunga kwenye ligi.. Na hao kina Dodoma jiji na mbeya kwanza ndo walikua wanatutesa sasa kama tunawamudu it means ubingwa uleeeeee...
Ulikutana Lin na mbeya Kwanza? Je Mbeya Kwanza kapanda lini lig kuu?
Nyie watu Ni vilaza Sana sijapata kuona ,yaan mkiongoza tu ligi Basi mnakua mabingwa tayar
 
tunajua wazi azam ni tawi la simba hivyo haikuwa na haja hata ya kufuatilia mechi yenyewe tulijua wazi
Kama mlijua mbona mmeumia baada ya kuona tumefunga?

 
Bwalya+mkude+bocco+pepe tako+banda la kuku+mhilu+mugalu+bocco+konate = goals 4

Fiston kalala mayele =?
 
Ulikutana Lin na mbeya Kwanza? Je Mbeya Kwanza kapanda lini lig kuu?
Nyie watu Ni vilaza Sana sijapata kuona ,yaan mkiongoza tu ligi Basi mnakua mabingwa tayar
Kama mimi ni kilaza basi wewe ni kilaza square maana ubongo wako umejaa matope huwezi elewa hata tunachozungumzia upo kama kahaba tu kudandia meza yenye bia nyingi...
 
Back
Top Bottom