Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hakuna gemu hapo ni kabumbu gemu tz anacheza ni yanga tu timu zilizo baki zinacheza kabumbu hakuna gemu

Mtu mpira unamgonga goti unajaa wavuni unasemwa et what a goal sasa unajiuliza goli la tiktaka ama la ku chop kama la moloko litaitwaje
We Lofa mbona makasiriko mengi??
 
Ila Dodoma Jiji iliyofanya muiite Yanga Manchester City ndiyo timu ya maana sio? [emoji23]
Dodoma jiji mbali, wewe Hadi leo unashangilia kutoa draw na mimi

Huyo dodoma jiji kibonde mwenzako alikutoa jasho ukaambulia 1 umesahau
 
Kibu sio mshambuliaji wa kutegemea sana na kagere na boko umri kama unawatupa mkono, Simba iingie sokoni kusaka forward wenye akili
 
Hakuna timu hapo, umecheza na Azam ambayo nado mgonjwa, tigere, dube wako nje

Bado imekutoa jasho, watu wanakwambia sakho what a goal katazame goli lenyewe anafungia goti hahahahahaha

Kunywa maji ya baridiii upoze koo usije pasuka mishipa ya shingo kwa hasira
 
Goli la pili, when the assist is more beautiful than the goal

Kibu ameni surprise leo, sikujua kama anaweza kupiga pasi kama zile
 
Hongereni mnyama, mmeshinda. Ila striker hamna pale.

Ligi ngumu mwaka huu, sio kama kipindi cha nyuma yanga ya akina Nchimbi, Yikpe, Molinga na wengne wa dizain hiyo.

Tuone nani atasimanishwa mechi za hapo kati kati
 
Back
Top Bottom