Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

1641059816812.png
 
Kama nyinyi na single yenu ya GSM,leo naona GSM kawanunulia penati mkakosa.
Hatukutaka maneno mitandaoni, tumemuachia refa penalty yake ili tutafute ushindi usio na makandokando.

Ile penalty ingekuwa ni sehemu ya ushindi wetu leo tusingekaa, kwahiyo mtego wa GSM kuhalalisha penalty ambazo huwa mnapewa tumeukwepa.


Happy New Year.
 
Mtani ndiyo tunakuja hivyo kukalia kiti chetu cha ufalme wa miaka minne[emoji3][emoji3].Happy New year,mwambie na utopolo mwenzio [mention]Insigne [/mention] nawasalimu kwa jina la Pablo [emoji3][emoji3]
Kiti cha ufalme mtasubiro sana japokuwa baba yako TFF anakutengenezea viporo ila sisi hatupoi.
 
Back
Top Bottom