Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

20220101_210110.jpg

Possession 68% Kwa 32%
 
Hakuna timu hapo, umecheza na Azam ambayo nado mgonjwa, tigere, dube wako nje

Bado imekutoa jasho, watu wanakwambia sakho what a goal katazame goli lenyewe anafungia goti hahahahahaha
Dodoma jiji ndiyo timu?
 
Hakuna timu hapo, umecheza na Azam ambayo nado mgonjwa, tigere, dube wako nje

Bado imekutoa jasho, watu wanakwambia sakho what a goal katazame goli lenyewe anafungia goti hahahahahaha
Duuuh, Ukisikia Mateso ndo haya....kwani ulilazimishwa kuangalia gemu Ya Mnyama...!?
 
Utakufa na hicho kijiba cha chuki Kaka mkubwa[emoji28]

Subiri mwezi march mkate Moto muanze kudondosha points alafu mseme Simba anabebwa Kwa vipolo vya mechi za kimataifa kimataifa[emoji28]

Malalamiko FC
 
Duuuh, Ukisikia Mateso ndo haya....kwani ulilazimishwa kuangalia gemu Ya Mnyama...!?
Hakuna gemu hapo ni kabumbu gemu tz anacheza ni yanga tu timu zilizo baki zinacheza kabumbu hakuna gemu

Mtu mpira unamgonga goti unajaa wavuni unasemwa et what a goal sasa unajiuliza goli la tiktaka ama la ku chop kama la moloko litaitwaje
 
Back
Top Bottom