Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Yanga mkiona tena refa anampa mchezaji wa Simba kadi nyekundu gomeeni mchezo....mjue ameshahongwa hivyoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sure Mkuu...
Ila kwa sasa karibu kinywaji Mkuu
[emoji485] [emoji485] [emoji485]
 
Ha ha hAaaaaaaaaaa
 
Mm shabiki wa yanga pongezi sana kwa SIMBA[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ila yanga leo tungefungwa goli 10 tu ingekuwa afadhali mara 1000,lkn sio kwa hiki tulichofanywa leo na SIMBA yanga kum*a la mama ako
Hata twiga stars wasingefanya hivi viroja mlivyofanya leo[emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Hongeren Watani....

Wachezaji wanastail viboko.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…