Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichuyaaaaaaaaaa.......,,,,,,,,,
Haha.. Mkuu huyu Mnyama ataua watu.Semboooooooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga mkiona tena refa anampa mchezaji wa Simba kadi nyekundu gomeeni mchezo....mjue ameshahongwa hivyoo.
Ha ha hAaaaaaaaaaaUshahidi wote unaonyesha kwamba timu hii hucheza vizuri zaidi ikiwa na wachezaji pungufu.
Game iliyopita Shiza kichuya alisawazisha wakati timu yake ikiwa na wachezaji pungufu , ushahidi mwingine ni huu wa leo wa kutoka nyuma hadi kuongoza 2 - 1 ikiwa na wachezaji pungufu .
Hii kitu tusiichukulie poa , kama inaruhusiwa mechi ijayo na yanga tuingize wachezaji 10 tu .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja sasa nitoke shimoni nilipokua nimejificha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaYupo Rehab
Una macho ya rohoniMpira dk 90 yanga tutawakalisha
tumewaoa wauza ngadaaaaa,,,mqkonda kawapiga nje ndani![]()
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimeshangilia mpaka wafiwa wananishangaa hapa msibani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yote kayataka makond*, kama nawaona yanga hasira zote kwa CCM.
Poleeeee basi komaa nayo iendelee kukupa preshahahahaaaa hapana aisee yanga naipenda kwa moyo wote.
hapa nilipo mashabiki wa simba wanashangilia mpaka keroo.