Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Nani alikwambia kibamia hakikojoi mshhhxxxiieeww. Pungufu my foot
 
Aah mambo gani haya kaharibiana siku tu
 
Pole sana mkuu kwa msiba, nakuombea usiwe tu Mkia maana utakuwa na misiba miwili. Sisi Yanga 1 wao mikia 0. Alale mahali pema peponi marehemu, amina.
Bado unaota tu kwamba Simba amekufa [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdomo mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…