Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
ndo naingia online nilikua mbwindeeehahaha... upo mrembo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo naingia online nilikua mbwindeeehahaha... upo mrembo?!
Nani alikwambia kibamia hakikojoi mshhhxxxiieeww. Pungufu my footKwa kweli timu yangu ya Simba inanikosha sana. Tupo pungufu uwanjani lakini kama tumeenea. Mpira umeisha, na tumeshinda. Tena timu yangu inanifurahisha sana, jana imezindua App ambayo unaweza kushiriki mijadala, kualika marafiki, kupata taarifa za kina, kununua jezi na vifaa vingine na kuona mahojiano, mechi au mabao. Unaweza kuipata App hiyo kwa ku click hapa na kisha utaingia katika page halisi itakayokupeleka play store.
Ili useme ni off side?I wish i I could be referee
Ongeza na msiba mwingine wa yanga mkuuWakuu nipo msibani, vipi matokeo yapo vipi?
Ohoooo!!!Yanga wapelekwe moja kwa moja kwa mkemia mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo Rehab
Mkuu tulipofungwa moja nilipotea kabisa! Nikawa nachungulia tu hapa JF! Hali ilikua tete![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Mpira dk 90 yanga tutawakalisha
Wine imekauka kichwani [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tena ombeni hata sare laa, nakesha humu. Mwafaaaaa yani na wine inapanda taratibu. Leo mnalooooooo
#teamyangaforever#
[emoji23] [emoji23] [emoji23]YANGA KACHEKELEA MIMBA MTOTO KALIWA NA SIMBA....
Ulitaka tuwe na imani nawewe? Who are you by the way?Eti mnaimani na yanga!
Ohoooo!!!!Yanga mkiona tena refa anampa mchezaji wa Simba kadi nyekundu gomeeni mchezo....mjue ameshahongwa hivyoo.
Bado unaota tu kwamba Simba amekufa [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdomo mbaya sanaPole sana mkuu kwa msiba, nakuombea usiwe tu Mkia maana utakuwa na misiba miwili. Sisi Yanga 1 wao mikia 0. Alale mahali pema peponi marehemu, amina.