Mwenzenu leo sidhani kama ntapata unyumba kwa wife kwa matokeo Haya!!!
hahahaha , ujue hili ni jukwaa la mpira eeeh, embu tupeane na update za chelsea. cheeersAu unapenda uvuliwe picchu badala ya kuivua mwenyewe?
kisa mpira ama kuna mengine?Mwenzenu leo sidhani kama ntapata unyumba kwa wife kwa matokeo Haya!!!
Itabidi nifanye hivyoKamfanyie usanii kama steve nyerere alivyofanya kwa mama sepenga..
hahahaha , ujue hili ni jukwaa la mpira eeeh, embu tupeane na update za chelsea. cheeers
Si nilisikia na Lowasa atakuwepo? Labda ndio maana wamejihami mkuuHuu woga wote wa nini?
basi poa, shukrani.hahahahahah mi nilidhani la mambo ya kikubwa lol! kule bado 1-1 na Costa hajaona ndani.
alikuwepo lowasa.Si nilisikia na Lowasa atakuwepo? Labda ndio maana wamejihami mkuu
Dk 32 yanga 2-0
Simba 1-2 young
Yanga 2 simba 01.
Utabiri
Yanga 2 - Simba 1
Yanga 2 Simba 0
Hizo details umetoa wapi mkuu maana mi niliona simba 53%yanga 47%Daàaah YANGA yangu ni nzurii tuuuh awa simba sijui wanairoga wap aisee ata ball psn tumewaongoza daaah
asante.Karibu sana enjoy the game.
Nifah leo kuja ni ngumu. Ngoja tumwite mrembo Nifah njoo hukuNipo, namtafuta Nifah.
Powa Transcend hapa najihisi kihindihindi, nilipanga kukesha humu. Sasa nakeshewa.Mambo mremboo ?
Ewaaaa.... chapchap sana!!tena nakuja wizout kabisa
Hahahahaha LOLnaona unataka kuhalalisha kuchepuka leo.