Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani hujaona suruali zenye marinda ?http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/978545bc60f5e5859ab314c956178c7c.jpg[/IM
Marinda Poleni mume wenu mumemuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujaona suruali zenye marinda ?http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/978545bc60f5e5859ab314c956178c7c.jpg[/IM
Marinda Poleni mume wenu mumemuona
Ilikuwa halali hahahaahSwali la msingi sana hili
Sijui ni kuogopanaMara nyingi mechi hizi za simba na yanga huwa zinaishaga kwa matokeo ya sare. Sijui huwa ni kwanini inatokea hivyo.
Hata hii ya leo huenda ikaisha hivyo hivyo hata kama ni kwa kulazimisha kiusanii
Kumbe mpenz wangu na wewe ni yangu nakupenda mpaka naumwaHaya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Hii mechi kinachohitajika ni ushindiHivi matokeo ya kambi za hizi timu mbili kwa ajili ya hii mechi ndio huu mchezo? Mbona hauna mvuto kabisa
simba anaenda kutembea na yangaLeo ndo ile siku Simba anaenda kutembea na Yanga.
leo simba analia.Mara nyingi mechi hizi za simba na yanga huwa zinaishaga kwa matokeo ya sare. Sijui huwa ni kwanini inatokea hivyo.
Hata hii ya leo huenda ikaisha hivyo hivyo hata kama ni kwa kulazimisha kiusanii
Mara nyingi mechi hizi za simba na yanga huwa zinaishaga kwa matokeo ya sare. Sijui huwa ni kwanini inatokea hivyo.
Hata hii ya leo huenda ikaisha hivyo hivyo hata kama ni kwa kulazimisha kiusanii