Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Mara nyingi mechi hizi za simba na yanga huwa zinaishaga kwa matokeo ya sare. Sijui huwa ni kwanini inatokea hivyo.
Hata hii ya leo huenda ikaisha hivyo hivyo hata kama ni kwa kulazimisha kiusanii
 
Hivi matokeo ya kambi za hizi timu mbili kwa ajili ya hii mechi ndio huu mchezo? Mbona hauna mvuto kabisa
 
Mara nyingi mechi hizi za simba na yanga huwa zinaishaga kwa matokeo ya sare. Sijui huwa ni kwanini inatokea hivyo.
Hata hii ya leo huenda ikaisha hivyo hivyo hata kama ni kwa kulazimisha kiusanii
Sijui ni kuogopana
 
leo simba analia.
 
Ushaaanza woga! Kitu nganganga haina kudevela marinda yanafumuliwa nitakuwa Na keki yenu Leo.
 
Nyie mikia hapo ndio kwanza tumemtuma mshenga, yuko njiani kuja kuposa. Sasa akifika msimbazi jueni tu, tunamchukua mwali wetu leo. Yanga rahaaaa. Nakumbushia ban tukifungwa mods hahahaha

#teamyangaforever#
 
kama simba kuna mwaka tuliouziwa mbuzi kwenye gunia basi ni usajili wa mavugo

HILI NI ZIMWI LA CHUMAULETE
 
Back
Top Bottom