Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

940d10b27d701ee5f010f470d481f2f6.jpg
hii app ya livescore ni ya kijinga
 
Naombeni link ya kutazama kwenye simu wakuu.

Shukran.
 
Nimegundua mleta uzi una kila dalili za kuwa na mahaba na yanga kama vile mimi nilivyo na mahaba na Mwadui fc damu
 
Bado mapema dada hahahaah
Kaka dakika ya 3 mmeliwa, sasa mpaka zifike dakika 90, hatutakuwa na pa kuwala. Poleni sana hiyo ndiyo Yanga niijuayo. Mtalala na viatu.

#teamyangaforever#
 
Back
Top Bottom