Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tambwe anaiandikia yanga goli la pili hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gooooooooooooooo
Kaka Katavi ukalale tu, leo ni Yanga tu. Hakuna wa kuwapa goli wala tobo. MwafaaaaDida anatupatia simba goli
Duh. Sijui nani anayeiupdate hii.!hii app ya livescore ni ya kijinga![]()
Kaka dakika ya 3 mmeliwa, sasa mpaka zifike dakika 90, hatutakuwa na pa kuwala. Poleni sana hiyo ndiyo Yanga niijuayo. Mtalala na viatu.Bado mapema dada hahahaah
Tayari tumeshachinjaHaya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans