edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Watoa ban bani mukuje uku mapemaYanga ikifungwa leo naomba ban, mods please mnipe tu ban. Hahahahaaa raha ya kujiamini ndio hii. Na timu iwe imara kama Yanga.
#teamyangaforever#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoa ban bani mukuje uku mapemaYanga ikifungwa leo naomba ban, mods please mnipe tu ban. Hahahahaaa raha ya kujiamini ndio hii. Na timu iwe imara kama Yanga.
#teamyangaforever#
Haipo leo
Heshma tafwazaliiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa nilipo mashabiki wa simba wanashangilia mpaka keroo.Mnyama amrarua mtu kwa makucha yake makali.
Aliyetangulia katangulia tu. Dawa inaingiaga kwenye ndundundu na si mpira, upo mkiaDawa imeingia sawasawa
Hii weekend ni njema sana kwa vitu vyekundu vyekundu mkuu!Simba 2
Nani tena huyoGooooooo
hahhaa imegonga mwamba.Gooooooo
Mnyama amerarua ndalaSimba 2-1_Ngaya