Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kikosi hiki huyu Gombezi sijui Rosa anafungwa mapema sana. Bao 3-0Hicho kikosi sijui kapangaje naona mabeki wengi sana kuliko viungo
Tunawategemea mtupe update huku tuliko umeme umekatwa00' Wakati wowote mpira umeanza uwanja wa Benjamin Mkapa
Naaaam mpira umeanza ni vita vya VPL
Simba SC Vs JKT Tanzania
Swadakta08' Mugaluuu Goooooooooooooooal
Chris Mugalu anaipatia Simba SC bao la kwanza, baada ya krosiiiiiiii kutoka kwa Miquissone
Simba SC 1-0 JKT Tanzania
Heee! Mara hii goli?08' Mugaluuu Goooooooooooooooal
Chris Mugalu anaipatia Simba SC bao la kwanza, baada ya krosiiiiiiii kutoka kwa Miquissone
Simba SC 1-0 JKT Tanzania
Kitashinda goli za kutosha afu utakipenda tu...Hicho kikosi sijui kapangaje naona mabeki wengi sana kuliko viungo
Tatizo unadhani wanaocheza Simba wana kiwango duni kama Sarpong au yule mwanariadha...Kwa kikosi hiki huyu Gombezi sijui Rosa anafungwa mapema sana. Bao 3-0
Hapo kapombe anacheza Kama wiga wa kulia yaani 7 alafu Kennedy anacheza beki wa kulia no 2 kisha Nyoni na Wawa wanacheza katikati kama ma central defenders ndio maana unamuona chikwende na Bwalya wako nje.Hicho kikosi sijui kapangaje naona mabeki wengi sana kuliko viungo