Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Patashika ya Ligi Kuu, Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Machi 1, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC wanapambana na JKT Tanzania FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mchezo huu inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikiwania kusaka ushindi wa alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa kwenye msimamo wa VPL.

Kwenye mchezo uliofanyika 4, 10, 2020 JK Tanzania walilala kwa jumla ya mabao nne kwa bila. Je leo JKT Tanzania watakubali kuwa wateja kwa Mnyama Mkali kwa mara nyingine?

Usikose Ukasimuliwa.. Kumbuka mtanange huu ni kuanzia saa 1: 00 Usiku.
======

08' Mugalu anaifungia Simba goli la kwanza

37' Luis anaweka bao la pili

View attachment 1714883View attachment 1714884
Kazi nzuri kwa msimbazi japo si nzuri sana
 
Back
Top Bottom