Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

15' Inapigwaa Biriani uwanja wa Benjamin Mkapa.

Hii ndo Simba SC.. Wawakilishi Wetu michuano ya Kimataifa Klabu Bingwa Afrika

JKT Tanzania bado hawajatuma shambulizi lolote la kuleta madhara
 
Hicho kikosi sijui kapangaje naona mabeki wengi sana kuliko viungo
Hapo kapombe anacheza Kama wiga wa kulia yaani 7 alafu Kennedy anacheza beki wa kulia no 2 kisha Nyoni na Wawa wanacheza katikati kama ma central defenders ndio maana unamuona chikwende na Bwalya wako nje.

Kuna muda anaweza kutoka Kennedy kisha kapombe akarudi no 2 alafu akaingia Chikwende kwanda kucheza wiga wa kulia au akaingia Bwalya kisha akaenda kucheza kushoto alafu Konde Boy akaja kucheza upande wa kulia.

Huyu kocha ni mjanja sana huyu.
 
Shomari Kapombe anamwaga maji kuleeee kwake Mugalu loooooo kona

Inapigwaaaa kona anaruka Wawa njeee ni goal Kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…