Yaaa huyo bwege aende vidimbwini huko huko akapigane Karate, Msimbazi hatufugi watukutuJONAS GERRARD MKUDE....Tafuta timu mapema Simba hii huna namba tena,Mkude ni official sio Regular tena kwenye kikosi cha Simba ni 2nd Choice or 3nd Choice kabisa.
Akavute vizuri bangi zake uko mitaani, Simba ya sasa sio ya kukaa na wachezaji machokoraa.Yaaa huyo bwege aende vidimbwini huko huko akapigane Karate, Msimbazi hatufugi watukutu
Ni vema kupumzisha wachezaji baadhi maana wajeda washaanza kupandisha miguu usawa wa magoti kuja juu ya mwili.71' Ametoka Manula na ameingia Kakolanya upande wa Simba SC
Unaumwa nini utopolo. Mbona Messi andunje kasajiliwa Barca, Michael Ballack wa Ujerumani unakumbuka enzi zake? Au unaongea tu kwa vile umeshashiba dagaa?Hakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
Dah kama kaumia akashindwa kucheza mechi na El Mereikh, ntaamini kweli utopolo wachawi. Wamemloga kocha wetu akampanga kwenye gemu ambayo hata Chikwende angeweza kukaa golini na tukatoka na clean sheet71' Ametoka Manula na ameingia Kakolanya upande wa Simba SC
Hako kachura unaweza kukuta hata hakamjui Diego Armando Maradona....Unaumwa nini utopolo. Mbona Messi andunje kasajiliwa Barca, Michael Ballack wa Ujerumani unakumbuka enzi zake? Au unaongea tu kwa vile umeshashiba dagaa?
Hakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
Hakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
Unaumwa nini utopolo. Mbona Messi andunje kasajiliwa Barca, Michael Ballack wa Ujerumani unakumbuka enzi zake? Au unaongea tu kwa vile umeshashiba dagaa?
Jkt wameamkaInaingizwa ndani kule lango la Simba SC, Wawa anaruka juu. lakini golikipa Kakolanya anagongana na mchezaji wa JKT yupo chini
Ameinuka mpira unaendelea