Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

68' Manula na Lyanga wapo chini wameumia baada ya mpira wa juu ambao walikuwa wakigombea

Wanapatiwa Matibabu wote wawili
 
Hakuna timu Ulaya inayoweza kumsajili Andunje
1614620235789.png
 
Inaingizwa ndani kule lango la Simba SC, Wawa anaruka juu lakini golikipa Kakolanya anagongana na mchezaji wa JKT yupo chini.

Ameinuka mpira unaendelea
 
90+6

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Bado Simba SC wapo mbele kwa mabao mawili kwa bila. Wanachukua JKT mbele kule kujaribu nafasi lakini wanapoteza

Wanachukua Simba sasa lakini refa anasema Offside kwa Simba SC
 
Back
Top Bottom