Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Yaan Boko mechi mbili na amefunga lakini Nchimbi kacheza CHAN mechi zote lakini hajafunga karejea VPL pia hajafunga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ivi ni nani alimsajili Nchimbi
 
90+6' Naaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao matatu bila majibu

Yakiwekwa kimiani na Mugalu 08' Miquissone 37' Bocco 90+6'

FT, VPL Simba SC 3-0 JKT Tanzania

Ghazwat
 
Yaan boko mechi mbili na amefunga lkn nchimbi kacheza CHAN mechi zote lkn hajafunga karejea VPL pia hajafunga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ivi ni nani alimsajili nchimbi
Anangojea kuifunga Simba...hifadhi comment yangu hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…