kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Gooooooooooo SIMBA 3....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Sisi yanga tunaumia sna jamni
Kuna mwana Uto goli la tatu kuingia tu katapika.Sisi yanga tunaumia sna jamni
Ghazwat weka chat ya msimamo wa ligi apa tuone na Vyura nao waone wanavyokata roho uku wanaona kwenye ubingwa.90+6' Naaaam mpira umekwishaaaa
Anangojea kuifunga Simba...hifadhi comment yangu hii...Yaan boko mechi mbili na amefunga lkn nchimbi kacheza CHAN mechi zote lkn hajafunga karejea VPL pia hajafunga 😆😆😆😆😆😆 ivi ni nani alimsajili nchimbi
Mtuache tulimsajili sababu alitufunga hat trickYaan boko mechi mbili na amefunga lkn nchimbi kacheza CHAN mechi zote lkn hajafunga karejea VPL pia hajafunga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ivi ni nani alimsajili nchimbi