Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii match simba waimalize mapema
Hawa dodoma wanashambulia kwa kasi
Yasije jirudia ya Azam
Chama anazinguakabisa wawapige hata tatu za fasta, watoto wanajitahidi kukaza
Mgalu wamtoe mnaona tunakosa magoli kifala sana
Ayaaaa wanapiga Biliani au futari???Kwenye ubora wake uleule
Yale yale yakubak nakipa ???"Mugaluu mbwaaa
Oyaaa goli la kiufundi??Mugalu Goooooooooooooooooooooal
Kope Mutshimba Mugalu anaipatia Simba SC bao la kwanza akipokea pasi kutoka kwa Bwalya
Simba SC 1 - 0 Dodoma Jiji FC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mugalu [emoji3531][emoji3531][emoji3531]
Tukiuza Hilo goli Tunajenga bandari ya bagamoyo
Itakua nikwahisani ya UtopoloHuyu refa amlinde Miquissone maana mijamaa inamchezea vibaya.