Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Second halfkwa hii Mechi ninayoiangalia hapa sina uhakika Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Second halfkwa hii Mechi ninayoiangalia hapa sina uhakika Mkuu.
Second half
hakuna mchezaji hapoMuzamiruuuuuuu.....
Hahahahaha anakosaaa
Beki ya Simba kawaida huwa inasinzia pamoja na kipa wao.Asipokuwapo Onyango simba hawaruki vizuri mipira ya kona
Wanaonekana kuwa vizuri kutokana na simba imekosa utulivu, na ndio maana unakuta nafasi nyingi za wazi wanakosaSidhani Mkuu, Dodoma jiji wapo vizuri leo tukubali hili
Kabisa MkuuTulia second half ingiza Bocco na Kagere, ikibidi wawepo striker wawili kule mbele toa Mugalu, hawa watoto hawanisumbui akili.
Michezaji ya Bongo kero mkuu. inajitetemekea tu. ningekuwa kiongozi ningeruhusu timu isajiri wageni hata 15. first 11 hakuna mipakaMuzamiruuu!!!! Michezaji ya kibongo[emoji1544][emoji1544]