Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Wanaonekana kuwa vizuri kutokana na simba imekosa utulivu, na ndio maana unakuta nafasi nyingi za wazi wanakosa
Mwalimu kaliona hilo tegemea marekebisho katika kipindi cha pili niamini mimi
Kwanini wakose utulivu? yaani nimeshindwa kuwaelewa Simba ni kwamba waliwadharau Dodoma jiji au ni wameridhika?
Wanatufanya tuwe na wasi wasi na hiyo tarehe nane.