Wanaonekana kuwa vizuri kutokana na simba imekosa utulivu, na ndio maana unakuta nafasi nyingi za wazi wanakosa
Mwalimu kaliona hilo tegemea marekebisho katika kipindi cha pili niamini mimi
Michezaji ya Bongo kero mkuu. inajitetemekea tu. ningekuwa kiongozi ningeruhusu timu isajiri wageni hata 15. first 11 hakuna mipaka
Mkuu huyu Mugalu hatakiwi kutoka hayo magoli unayo ona anakosa ni kwasababu anajua kuzitafuta hizo nafasi akiingia Kagere au boko hizo nafasi za wazi wanazokosa hapo hutoziona kabisa.Tulia second half ingiza Bocco na Kagere, ikibidi wawepo striker wawili kule mbele toa Mugalu na Mzamiru, hawa watoto hawanisumbui akili.
Utopolo fc kwenye uboraaBila kuwahisha muamala half time hii tutashindwa kupata goli la pili
Toa bwalya ingiza morrisonMkuu huyu Mugalu hatakiwi kutoka hayo magoli unayo ona anakosa ni kwasababu anajua kuzitafuta hizo nafasi akiingia Kagere au boko hizo nafasi za wazi wanazokosa hapo hutoziona kabisa.
Na huyu Mzamiru hatakiwi kutoka sababu ni mkabaji pekee mwenye energy kubwa hapo tofauti na mkude mvivu kukaba.
Ngoja tuone plan ya kocha .
Ile alisukumwa kiainaManula kuna muda anajisahau
Game kama hizi kocha angekuwa anaanza na striker wawili.Mkuu huyu Mugalu hatakiwi kutoka hayo magoli unayo ona anakosa ni kwasababu anajua kuzitafuta hizo nafasi akiingia Kagere au boko hizo nafasi za wazi wanazokosa hapo hutoziona kabisa.
Na huyu Mzamiru hatakiwi kutoka sababu ni mkabaji pekee mwenye energy kubwa hapo tofauti na mkude mvivu kukaba.
Ngoja tuone plan ya kocha .
Punguza hasira mkuu ushindi upo hapaKwanini wakose utulivu? yaani nimeshindwa kuwaelewa Simba ni kwamba waliwadharau Dodoma jiji au ni wameridhika?
Wanatufanya tuwe na wasi wasi na hiyo tarehe nane.
Mkuu hiyo ni moja ya spirit ya mchezo hadi barcelona kuna time anakosa utulivu sio simba tuKwanini wakose utulivu? yaani nimeshindwa kuwaelewa Simba ni kwamba waliwadharau Dodoma jiji au ni wameridhika?
Wanatufanya tuwe na wasi wasi na hiyo tarehe nane.