Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Imekuaje??
Yellow card Mzee OnyangoKanoute sio complete player
Aisee... Dalili mbaya hizi
Hawa professional wanaoukuja Tanzania, wengine ni average player tu.....wanakula hela za bure tuKanuti anakosaje hapo sasa
Hahaha
Daahhh
Utamkataa baada ya muda mfupi sana, akipinduliwa kama chapati.Hapa wawa anaitajika kumimina pasi ndefu watanishukuru baadaye
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwamba Asec na Berkane wanacheza Moro?Simba bora ifungwe tu , manaa huko robo fainal kwa mpira Huu ni kutiana aibu . Huko moro Asec wameshakufa 1
Huku simba inachezea nafasi tu
Ngoja tuone.Simba bora ifungwe tu , manaa huko robo fainal kwa mpira Huu ni kutiana aibu . Huko moro Asec wameshakufa 1
Huku simba inachezea nafasi tu
Si ndiyo mnasema kipindi Cha pili mnakuwa hatari zaidi mkuuHawa jamaa hawakutakiwa kutuzoea kabisa,kipindi cha pili sijui itakuwaje
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app