Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Berkane ni lazima apite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Berkane ni lazima apite
Ndo mipira yake hiyo, huwa anacheza kama ndebile.Bwalya anawachelewesha sana wenzie yupo slow mpaka anapoteza mipira.
Bila shaka mikono inamtetemekaMbona umeutelekeza uzi wako hauuwekei updates?
[emoji1787][emoji1787]Guvu moya
Unajua hapa ndiyo Simba tunashindwa kuonekana ni giant. Timu kubwa haitakiwi kuwa inakosa magoli kiasi hiki, mwarabu ndiyo maana anakuwasha hata magoli matano ukifanya uzembe.. Unaona tulitaka kuwashwa hapa?Attacking line yetu ni butu sana, hizo nafasi zingekuwa ni za USGN tungekuwa tushapigwa hata 2.
Kwenye hili kundi, walioapata bahati ni wale wanaomalizia mechi nyumbani.
Wachezaji wanatafuta soko, lazima wapambane but Mikia washindwe wenyewe tu, wanakila dalili ya kushinda.
Wachezaji wanafika kwenye 18 ila hawataki kunyoosha miguu.Simba hii haitaki kufung
Asec wamewafunga miguu 🤣Wachezaji wanafika kwenye 18 ila hawataki kunyoosha miguu.