Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Attacking line yetu ni butu sana, hizo nafasi zingekuwa ni za USGN tungekuwa tushapigwa hata 2.
Unajua hapa ndiyo Simba tunashindwa kuonekana ni giant. Timu kubwa haitakiwi kuwa inakosa magoli kiasi hiki, mwarabu ndiyo maana anakuwasha hata magoli matano ukifanya uzembe.. Unaona tulitaka kuwashwa hapa?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom