Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Vipi kaendeleza lile zimwi lake la uchoyo??Sakho kafanya upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kaendeleza lile zimwi lake la uchoyo??Sakho kafanya upuuzi
Mnh!Huyu Refa wa leo ana ajenda ya Siri sio bure
Umemmiss yule mkongo aliyewanyima goal RS Berkane 🤣Huyu Refa wa leo ana ajenda ya Siri sio bure
Dk 22 nyau nyauMliopo kwa screen tafadhali updates .eg .time -------and scores
Hawa USG naona na wao hawajaja kinyonge sana...... Mikia inatakiwa mjipange vizuri na halftime msalimiane na Refa.Tunatakiwa kupata goli la mapema aiseeh, haya mambo ya kuja kubadilukiwa kipindi cha pili yatakuja kutugharimu.
Simba wakiendelea hivi hawana chaoHahaa mtu anapigwa chenga had anaanguka