Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Punguza hasira mkuu ila kusema ukweli kuna wachezaji wanakuja nchini hawastahili na wana viwango vya wachezaji wengi ninaowaona kila siku pale Kinesi kwenye ndondo cup.
 
Watarudi na Approach Ya Counter Attack, Hii Approach Inaweza Mfanya Onyango Apate Red Card, Wawa Ni mzuri sana One against One
 
We nae tuliza kidali 🤬🤬🤬🤬
 
Sakho hapa tumepigwa nyie

NB: Hawaamini wanavyoolewa nyumbani.
 
Bila shaka mmempelekea maji ya kunywa refa.......na kuwaomba USG kupunguza kukaza maana hawaendi kokote.....pia kuwaomba Sakho na Morisson kuacha ubinafsi wacheze kama timu na siyo wao kuonekana mashujaa pekee yao.

Back in sekandi hafu.....


NB: Kama refa ameanza mfungo leo sijui itakuaje.
 
Afe Mooo afe Manula Afe Magori Afe Julio lazima leo Simba ashinde. Kama hutaki nenda Kalale mapema kabla ya kukerwa soon.
 
Kuongoza kwa Berkane inaweza ikawapunguza morari USGN maana hana nafasi tena ya kufuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…