Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Tunanunua machezaji mashenzi hayajui hata kutoa pasi, gemu ya kufa na kupona unacheza kama gemu ya hisani, *****..tutolewe tu na ubingwa ligi kuu tusichukue kabisa ili akili zikae sawa za hawa viongozi waunde jopo maalum la kuangalia na kusajili wachezaji wenye uchu wa kucheza mpira kwa kujituma , huwez kwenda robo fainal kwa staili hii
Punguza hasira mkuu ila kusema ukweli kuna wachezaji wanakuja nchini hawastahili na wana viwango vya wachezaji wengi ninaowaona kila siku pale Kinesi kwenye ndondo cup.
 
Watarudi na Approach Ya Counter Attack, Hii Approach Inaweza Mfanya Onyango Apate Red Card, Wawa Ni mzuri sana One against One
 
Sakho hapa tumepigwa nyie

NB: Hawaamini wanavyoolewa nyumbani.
 
Bila shaka mmempelekea maji ya kunywa refa.......na kuwaomba USG kupunguza kukaza maana hawaendi kokote.....pia kuwaomba Sakho na Morisson kuacha ubinafsi wacheze kama timu na siyo wao kuonekana mashujaa pekee yao.

Back in sekandi hafu.....


NB: Kama refa ameanza mfungo leo sijui itakuaje.
 
Afe Mooo afe Manula Afe Magori Afe Julio lazima leo Simba ashinde. Kama hutaki nenda Kalale mapema kabla ya kukerwa soon.
 
Kuongoza kwa Berkane inaweza ikawapunguza morari USGN maana hana nafasi tena ya kufuzu.
 
Back
Top Bottom