Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hatuna straikers wa maana.Toa Bwalya Weka striker mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna straikers wa maana.Toa Bwalya Weka striker mwingine
DuuuKila la heri US Gendarmerie
Mnastreka gani mkuu nje?🤣 ...........hata Mugalu kuna tukio lolote umemuona festi hafu? Bora mikia mcheze na false 9 tuToa Bwalya Weka striker mwingine
Amekosa nafasi za waziVipi kaendeleza lile zimwi lake la uchoyo??
So Far Tumecheza Vizuri Sanaaaa
Punguza hasira mkuu ila kusema ukweli kuna wachezaji wanakuja nchini hawastahili na wana viwango vya wachezaji wengi ninaowaona kila siku pale Kinesi kwenye ndondo cup.Tunanunua machezaji mashenzi hayajui hata kutoa pasi, gemu ya kufa na kupona unacheza kama gemu ya hisani, *****..tutolewe tu na ubingwa ligi kuu tusichukue kabisa ili akili zikae sawa za hawa viongozi waunde jopo maalum la kuangalia na kusajili wachezaji wenye uchu wa kucheza mpira kwa kujituma , huwez kwenda robo fainal kwa staili hii
Yeah kapita mlangoniAndaeni Makoo Ya Kushangilia, Gemu ishaisha hii Mnyama Kapita....
Ameshindia daku au?Afe Mooo afe Manula Afe Magori Afe Julio lazima leo Simba ashinde. Kama hutaki nenda Kalale mapema kabla ya kukerwa soon.