Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Ndugu muanzisha maada unajua kama bei ya mafuta imepnda au unakula kwa baba
 
Halafu wakiambiwa mechi za simba zinafuatiliwa na watazamaji zaidi ya biln tatu wanabisha.
Mbumbumbu huwa hamuachi ujinga kabisa yaani.

Na kwanza mmetoka Kabla hata ya mechi, hiyo billion 3 mnafuatiliwa na dhidi ya kina kagera.
 
Kwenye hili kundi, watakaoenda robo fainali ni wale wanaomalizia mechi zao nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…