Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba akivuka hatua hii anaingiza $350,000 kibindoni
 
Waandishi wa habari mlio huku, nawapa tahadhari mjiandae mapema, kabla ya kwenda kumhoji mchezaji au kocha wa kigeni lazima ujue anaongea lugha ghani na utaweza kumuiliza maswali ya msingi? Sio leo mfanye kama siku zoote mnamzingira mtu na ma mic kibao hamuongei kitu anajitutumua mmoja anauliza swali la kila siku " how was the game" ? Thank you
 
Nguvu moja.. 💪🏻💪🏻
 
Mikia kazeni!??! Waganga kazi mwisho saa tatu
 
Simba akivuka hatua hii anaingiza $350,000 kibindoni
Hela ndogo sana hiyo...africa unasafiri kote alafu hela yenyewe ni hiyo....
Ndio maana wasenegal wana akili sana baadala ya kupoteza hela kisafiri africa nzima bora hela unayotumia uweke kwenye academy uuze wachezaji ulaya.
 
Ni wivu tuu
 
Kumbuka kila hatua unayopiga ni mpunga tu.
 
Ni wivu tuu
Sio wivu ndio ukweli huo. Wee ulishaona timu za senegal kwenye haya mashindano ya caf wakifika mbali?
Ila wao wanapelela wachezaji ulaya of which wnawez uza for ova one million usd...plus kuna percent wanaendelea kupata endapo mchezaji atakuwa anaenda another club.
 
Ndio maana hata nyie Yanga huwa hampendi kufika mbali kwenye haya mashindano maana hayana pesa
 
Dstv ni kama walisema wataonesha hii mechi kuna mwenye update?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…