Si tu aliwazuia kupata ushindi,, Bali aliwapiga kamoko ,, Refa akanyang'anya haki yao na kuwapora ili kuwaondolea nyinyi uto aibuRuvu Shooting, kama mliweza kumzuia Bingwa wa Ligi kuu msimu huu kupata ushindi, naamini hamuwezi kushindwa kuitandika hii timu mnayocheza nayo leo.
Wafungeni goli moja tu! Na msitishwe kabisa na zile kelele kutoka kwa mashabiki wao wachache watakaojitokeza kuwashangalia.
Hasira za nini tenaLeo hasira zote tunamalizia kwa Ruvu,
Sio 3 tena?.Ruvu Mara ya mwisho tunakutana nao tuliwapiga 7
Wana bahati mbaya na leo ni tarehe 8
Mmebakiza kutoa laana kwa wenzenu wanao songa mbele, wivu ukizidi unakuwa na roho mbaya mithili ya mchawiDak 96' RS BERKANE anaruhudu bao
Huyu ana laana yetu bado pirate
Ungelijua hili ungekuwa unatusapoti tunapo shiriki michuano hiyo ya kimataifaMmebakiza kutoa laana kwa wenzenu wanao songa mbele, wivu ukizidi unakuwa na roho mbaya mithili ya mchawi
SAWA KABWILI UMESIKIKA.Mechi iliyopita Kolo alimuotea Ruvu baada ya wachezaji wake wengi kuwa depo, leo sioni namna ya Kolo kukwepa kipondo
Ni lini uliniona?Ungelijua hili ungekuwa unatusapoti tunapo shiriki michuano hiyo ya kimataifa
Lakini roho ya uchawi ndio iliyokufanya uone kawaida kuwapokea airpot timu pinzani na kuwashangilia.
Dua mbaya kwa simba mbona mpaka humu comments zenu zipoNi lini uliniona?