Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Yaani hapa leo sijui nisimame na nani, nikikumbuka ruvu shooting alivyotubania roho inagoma kumuunga mkono, huyu simba akishinda anapunguza gap.

Ila hata akipunguza gap si rahisi kutukamata. Simba piga hao viangazi hasira zangu zipoe.
 
Ruvu Shooting, kama mliweza kumzuia Bingwa wa Ligi kuu msimu huu kupata ushindi, naamini hamuwezi kushindwa kuitandika hii timu mnayocheza nayo leo.

Wafungeni goli moja tu! Na msitishwe kabisa na zile kelele kutoka kwa mashabiki wao wachache watakaojitokeza kuwashangalia.
Si tu aliwazuia kupata ushindi,, Bali aliwapiga kamoko ,, Refa akanyang'anya haki yao na kuwapora ili kuwaondolea nyinyi uto aibu
 
Dak 96' RS BERKANE anaruhudu bao

Huyu ana laana yetu bado pirate
 
Ruvu Mara ya mwisho tunakutana nao tuliwapiga 7

Wana bahati mbaya na leo ni tarehe 8
 
Dak 96' RS BERKANE anaruhudu bao

Huyu ana laana yetu bado pirate
Mmebakiza kutoa laana kwa wenzenu wanao songa mbele, wivu ukizidi unakuwa na roho mbaya mithili ya mchawi
 
Vikosi vyote vya Simba SC na Ruvu Shooting vinavyoanza leo.
Screenshot_20220508-181946~2.jpg
Screenshot_20220508-182003~2.jpg
 
Wakati wowote mpira umeanza Timu zinangia uwanjani...!

Naaam mpira umeanza uwanja wa Mkapa

00' Simba SC 0-0 Ruvu Shooting
 
Ungelijua hili ungekuwa unatusapoti tunapo shiriki michuano hiyo ya kimataifa

Lakini roho ya uchawi ndio iliyokufanya uone kawaida kuwapokea airpot timu pinzani na kuwashangilia.
Ni lini uliniona?
 
Back
Top Bottom