Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

" The Return of Champions"
🤣🤣🤣Hii kauli mbiu nilichekakaga sana kumsikia jamaa anaitoa kwa timu mbovu isiyoandaliwa kwa michuano ya kimataifa. Halafu na ninyi mkadanganyika kweli 🤣.

Andaeni timu mtani... Simba mwaka huu ilikuwa mbovu vinginevyo mtapotezwa na kauli za waganga njaa tu. Mtaanza CL round ya kwanza tu chali 🤣
 
Ni kweli usemalo Mtani Kikosi chetu kinahitaji maboresho ili kifanye vizuri Kimataifa.

Nadhani huu ulikuwa mwanzo mpaka tuko njiani kuchukua NBC Premier League hivyo naamini baada ya hapo kikosi kitaboreshwa zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom