Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
🤣🤣🤣Hii kauli mbiu nilichekakaga sana kumsikia jamaa anaitoa kwa timu mbovu isiyoandaliwa kwa michuano ya kimataifa. Halafu na ninyi mkadanganyika kweli 🤣." The Return of Champions"
Andaeni timu mtani... Simba mwaka huu ilikuwa mbovu vinginevyo mtapotezwa na kauli za waganga njaa tu. Mtaanza CL round ya kwanza tu chali 🤣