Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Heee!! Unaelewa maana ya Live lakini?hata hilo linakuuma?kateni rufaa hii ni hujuma
Mwambie Mod airudishe basi. 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee!! Unaelewa maana ya Live lakini?hata hilo linakuuma?kateni rufaa hii ni hujuma
Yaani imefikia hatua unafurahia hadi kitufe cha Live ilihali kinachoendelea sio Live. Lolhata hilo linakuuma?kateni rufaa hii ni hujuma
🤣🤣🤣🤣☝️☝️Yaani imefikia hatua unafurahia hadi kitufe cha Live ilihali kinachoendelea sio Live. Lol
Ama kweli faraja zipo za aina nyingi. 😂😂
Mi sijambo Ntani. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣☝️☝️
Daah, faraja tena🤣🤣🤣
Kwani bado tunacheza mtani.... basi iwe Live ya kuchat 🤣Unaelewa maana ya Live au? Mwambie Mod airudishe basi. 😀
Nafurahi kusikia hilo mtani.Mi sijambo Ntani. 🤣🤣🤣
Labda hiyo Live ya kuchat , mana game imeisha jana lakini OKW BOBAN SUNZU anataka Live iendelee kuwepo. 😂😂😂Kwani bado tunacheza mtani.... basi iwe Live ya kuchat 🤣
Hata Jimmyson wa Gwambina ona anavyopata shida wakati ana kiwango bora.Ilamfya hakuwa vizuri kulinganisha na Joji
Kwa wazawa wanaocheza ligi ya Tanzania forward wa maana ni George mpole, R. Lusajo, na kibu dKibu anaweza kubaki lakini Mpole wa Geita anafaa nafasi ya Bocco.
Wivuu🤣🤣🤣Bila shaka Mods wana kausimba aisee. Haiwezekani hii live iwepo mpaka saa hii. 😂😂
Hahahaaa. Ndio eti 🙈 sababu tusemeje sasa.Nafurahi kusikia hilo mtani.
Maana umenichekesha sana. Sisi Simba ya robo fainali tunajifariji kwa LIVE ya Ruvu🤣. Ama kweli kukosa ubingwa mwaka huu imekuwa tabu tupu
Hahahaaa. Ujue nimecheka sana mdogo wangu. Lol.Wivuu🤣🤣🤣
Simba lidude likubwaaa,😀😀Hahahaaa. Ujue nimecheka sana mdogo wangu. Lol.
Basi jioganaizini muandamane hadi kwa Mod arudishe kitufe chenu cha LIVE. 🤣🤣🤣
Simba lidude likubwaaa,😀😀
Mwaka huu mtani mtasema sana. Sisi ndio wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. 🤣Hahahaaa. Ndio eti 🙈 sababu tusemeje sasa.
Ubingwa upo mtani kwani Yanga huwa inapoteza sana mechi second round. 🤣🤣
KipwimpwiLabda hiyo Live ya kuchat , mana game imeisha jana lakini OKW BOBAN SUNZU anataka Live iendelee kuwepo. 😂😂😂
Itakuwa live ya kuchat kwa kweeli.
Kweli sasa ndio naijua raha ya ubingwa na mateso wanayopitia wanaosaka ubingwa.
Hahahaaa. kuna kale kamsemo ka " The Return of Champions" ndo kanatake place sasa. 🤣🤣🤣Mwaka huu mtani mtasema sana. Sisi ndio wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. 🤣
Tusubiri msimu ujao tuone kama mtaendelea kutetema. Miaka minne mlikuwa mnafukuzana tu sasa tumewatupia Manara na Senzo basi mnajiona wajanja.🤣
Kipwimpwi
Ubingwa kitu ingine mtani. 😂Kweli sasa ndio naijua raha ya ubingwa na mateso wanayopitia wanaosaka ubingwa.
Kumbe kwa miaka minne mtani Shadeeya na wenzio mmeteseka hivyo 🤣. Kweli msiba usikie kwa jirani tu.
ntazana ntazana tuwaache hawa wafute huzuni ya miaka 4.