Simba SC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Mbona nyie timu Kabwili hamkumnunua?
Tofauti na pesa Makata ni mnazi mkubwa wa Simba....hawezi pokea pesa eti Yanga ishinde,wakati katika vitu vinasababisha maumivu kwake ni ushindi kwa Yanga
 
Admin kakubali mziki wa Simba

F48EFBFD-6BDC-4D39-9381-023813D8F398.jpeg
 
Tofauti na pesa Makata ni mnazi mkubwa wa Simba....hawezi pokea pesa eti Yanga ishinde,wakati katika vitu vinasababisha maumivu kwake ni ushindi kwa Yanga
Mngeshinda kule kigoma basi acha kulia lia
 
Ndo mmeanza ligi sasa
Hatua hii kila mchezaji atajituma sana na ataenda kukoleza ndumba kwa professor wake maana ndio hatua ya lala salama hiyo huna nafasi ya kujitetea tena baada ya ligi kuisha. Watu wanapambana wasipewe mkono wa baibai.
Msimu ujao captain fantastic yupo tens, Kibu Denis ndani, Mugalu ndani, Kagere ndani, Mzamiru ndani, wawa ndani,
 
Kwahyo bocco kaanza ligi rasmi leo
 
Back
Top Bottom