Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Admin apokonywe simu [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Admin apokonywe simu [emoji38]
😁😄😃😀🤣🤣😅😆😁Ruvu asishuke ili Moderator wake azidi kunipa raha
Namba zotee
Vipi wananchi hamkumpa!?Ruvu shooting dhidi ya Simba hawajawahi kulitambua hili,yule Golikipa Mohammed Makaka ndio huwa anauza hizi Game zao
Namjua sana huyu Golikipa kabla hajaanza kucheza kwenye Top flight, kwanza ni mnazi sana Simba na pia issue ya kuchukua pesa kwenye game ni kawaida pia
Simba ya vibondeHii ndiyo Simba ninayoijua mimi
Hapana, wenyewe wanataka kushinda ligi. Sio kumfunga Ruvu magoli 4Hivi utopolo walishawahi kushinda magoli 4?
Mbona nyie timu Kabwili hamkumnunua?Ruvu shooting dhidi ya Simba hawajawahi kulitambua hili,yule Golikipa Mohammed Makaka ndio huwa anauza hizi Game zao
Namjua sana huyu Golikipa kabla hajaanza kucheza kwenye Top flight, kwanza ni mnazi sana Simba na pia issue ya kuchukua pesa kwenye game ni kawaida pia