Hapo Aboubacar Yousouf ndie mchezaji pekee wa kimataifa wa yanga ambae hastahili kuwapo kwenye kikosi chetu.Wakati ukiwa na wachezaji wa Kimataifa kama hawa.
Yanga ana wakina. Ambao ni wakubwa kimpira kuliko wenu....
NGOMA > KIIZA
KAMUSOKO > MAJABVI
NIYONZIMA > MAJWEGA
BOSSOU > MUURSHID
ABOUBACAR YOUSEF > KIONGERA
Ni bora umetumbua jipu la usajili la timu yako.
Tatizo la WaTz ni wagumu kukubali ukweli na kugeuza changamoto kuwa fursa. Mwishowe utasikia wameenda kwa mganga kumtafuta mchawi wa timuOkei, tujiulize kwa nini simba siku hizi hatuwakilishi nchi??
Nilidhahi utasema simba!!!!!!!Hamna timu yenywe uwezo kutuwakilisha kimataifa wote watalii hata huyo yanga (mbeleko f.c)
Chini ya utawala wa Malinzi na genge lake pale TFF, hata Simba Sc wasajili kikosi bora cha dunia bado mambo hayataweza kubadilika.
Na kadiri Malinzi anavyoendelea kuendekeza mapenzi yake kwa Yanga Sc ndivyo soka letu linavyozidi kudidimia ...
Mkuu acha hizo. Mimi nawafahamu mashabiki wa Simba pamoja na viwango vyao vya ushabiki. Huwezi kudai eti barafuyamoto ni mamluki pale Simba, huyu ni shabiki wa kufa na kuzikana na Simba. Kwa kifupi yeye ni mnazi wa Simba kuliko hata wewe. Kilichokusukuma useme ni mamluki ni ukweli aliouandika.Mamluki huwa hawakosekani kila sehemu.
yupo hatua ya nane Nora unataka atuwakilishejeHamna timu yenywe uwezo kutuwakilisha kimataifa wote watalii hata huyo yanga (mbeleko f.c)
wingine shida Tu wametinga name bora shirikishoAngalau kwa kipi walichofanikiwa mkuu kuwatoa apr, kufungwa goli dk za mwisho na waarabu au kutolewa klabu bigwa n kwenda shirikisho ndo angalau.?
Sina la kuongeza maana umeandika ukweli.Mkuu acha hizo. Mimi nawafahamu mashabiki wa Simba pamoja na viwango vyao vya ushabiki. Huwezi kudai eti barafuyamoto ni mamluki pale Simba, huyu ni shabiki wa kufa na kuzikana na Simba. Kwa kifupi yeye ni mnazi wa Simba kuliko hata wewe. Kilichokusukuma useme ni mamluki ni ukweli aliouandika.
Pole sana, endelea kuamini kuwa Yanga inabebwa huku wenzako tunapiga boli bila kuangalia uso wala makunyanzi.
YANGA wame-raise the bar ya standard ya mpira hapa bongo ...
Mtani ujue bado nakusubiri uje.Umeongea vyema