Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Mbona unateseka mkuu! Nikwambie tu kuwa katika game ambayo Simba ni kufa na kupona lazima ashinde ni hii kwasababu asiposhinda ametoka.Hivyo lazima ashinde na anashinda leo upende usipende
 
Mkuu liombee Taifa....ili tupande kwenye Chat za CAF - usijali sana maslahi binafsi ya timu zetu za Bongo....Just waombee Simba kushinda kwa ajili ya Tanzania kupanda kwenye chat za CAF... Hayo mengine achana nayo...angalau wakatolewe robo fainali.....
 
Staki unafki mkuu
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Tawile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…