Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Mtoa mada baada ya mechi kuisha
maxresdefault.jpg
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Bado tatu zifike sita
 
ngapi huko mwandishi?????
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Umbwa weye
 
Back
Top Bottom