Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana

Wewe ni moja wa puuzi wa hovyo kuwahi kutokea
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Roho fulani hivi za kichawi
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Unasema?
 
Mkuu naona mkeka wako umechanika[emoji1][emoji1]
 
Haaahaaaa..Mchambuzi fala huyuu
 
Back
Top Bottom