Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,676
- 4,693
Wenye akili upande ule wapo wawili tu.Dah kweli una uso wa mbuzi.Yaani kweli umerudi kutetea ujinga wako.Yaani Horoya wachukue milioni 38 wakati wangeshinda na kuingia robo fainali wangepata Bilioni 1 na Nusu?
Mkishiba mihogo mnaropoka tu.