Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Mlisema ivoivo kwa tp mzembe mpila ulivyoisha mkaleta sababu zingine
Njoo kwa mkapa uone soko Safi bila uchawi
Soko gani tena kwa Mkapa siku hizi. Goli 7 hufungwa na timu zilizojizoea kuweka rekodi. Hamtakuja kumfunga yoyote goli 7 kwenye michuano ya vilabu Afrika. Leo mnadroo.
 
GOLI 7 ndo unachukua ubingwa wew kolo una akiri kwer
Rekodi itakusaidia Nini
Mbona yanga tulimpiga zalan Gori nyingi Ila hatujisifii
 
Back
Top Bottom