Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

GOLI 7 ndo unachukua ubingwa wew kolo una akiri kwer
Rekodi itakusaidia Nini
Mbona yanga tulimpiga zalan Gori nyingi Ila hatujisifii
Unajua vizuri kwanini hamjisifii. Timu ikaitwe zahara bado unaona kuna window ya kujisifia hapo😆😆😆
 
Mniite mbwa nimekaa pale[emoji117]
800px_COLOURBOX8384085.jpg
 
Nakutafutaaaaa wee mtuuu, nyokooooooo zakooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utakomaaa mwaka huu.
Yaani umeacha kumtafuta mtu aliyekufundisha mchezo mbaya, ukiwa kama kijana mdogo wa kiume! Badala yake uje unitafute mimi!!

Utakuwa huna akili timamau. Mimi na mashoga wapi na wapi!
 
GOLI 7 ndo unachukua ubingwa wew kolo una akiri kwer
Rekodi itakusaidia Nini
Mbona yanga tulimpiga zalan Gori nyingi Ila hatujisifii

Zolan Unalinganisha na horoya?. Timu imekuja na pick up kutoka Juba.
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Huyu hapa
 
Back
Top Bottom