Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

mmebaki na mi utapu tapu tu mnayoongea..si mlisema hatutoki..
Kumbe urembo wote huo ulionao hutumii Heineken isipokuwa ni matapu tapu tu?

Haya kuja haraka sana upate ofa za bia hapa kwa Mangi nikununulie Mtani [emoji23]
 
NAWAPA ZA NDANI KABISA
Horoya wamecheza chini ya kiwango
Nasikia mmeonga milioni 38 ili muende robo
Timu yenu bado mbovu
Muache uchawi chezeni kwa kiwango chenu mnaroga sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa sauti kubwaaaa sanaaa, wee ni kichaa au?

Na nyie kesho muwahonge monastir, mxxxxiiieeeew
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yale machawi yamekosa content wanaongea ongea kama wehu sasa hivi kwa kipigo maana umepigwa mpk ukoo wak mzima..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada umetishaaa sanaaaa.
 
Simba bado timu yenu ni mbovu
Na robo fainal hamtoboi mkipangwa tu na mamelods basii kwisha habari yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima utesekeee sasa? Khaaaaah
 
Leo mtajiharishia nyie utopolo wenye viriba tumbo...hapa naongelea utopoz wale wenye vijiba vya roho kama mwajuma ndala ndefu..kuna wale wanaojielewa hao haiwahusu hii..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NAWAPA ZA NDANI KABISA
Horoya wamecheza chini ya kiwango
Nasikia mmeonga milioni 38 ili muende robo
Timu yenu bado mbovu
Muache uchawi chezeni kwa kiwango chenu mnaroga sanaa

Usipende kuvuta bangi chooni utawehuka
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba bado timu yenu ni mbovu
Na robo fainal hamtoboi mkipangwa tu na mamelods basii kwisha habari yenu

Sawa nabii Geor Davie, ila Cha muhimu bado Tume maintain standard yetu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vyote
Horoya nawajua wamecheza chini ya kiwango
Kolo Amna akili mkifungwa lawama kwa kocha mkishinda hongera kwa chama nonsense

Tufurahie ushindi, malengo yametimia. Mengine ni majungu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
IMG-20230318-WA0152.jpg
seven-1181077__340.jpg
 
Back
Top Bottom