Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Utakufa kwa uchawi.Tupa tunguli hizo!
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
kumbuka kibonde unaesema simba kapata point ame draw na raja
maisha aya😀😀😀
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.

Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Amka Toka usingizini SIMBA KAUA 7 0000000
 
Angalia umbwa ingine hii huku mada faka😂😂😂
 
NAWAPA ZA NDANI KABISA
Horoya wamecheza chini ya kiwango
Nasikia mmeonga milioni 38 ili muende robo
Timu yenu bado mbovu
Muache uchawi chezeni kwa kiwango chenu mnaroga sanaa
 
duuuuh,we jamaa hizo bangi zinakuharibu, kama boss wa horoya alihaidi $10,000 kwa players na benchi la ufundi.sasa hizo 38mil ni kitu gani.jikite kwenye kulea wajukuu
 
NAWAPA ZA NDANI KABISA
Horoya wamecheza chini ya kiwango
Nasikia mmeonga milioni 38 ili muende robo
Timu yenu bado mbovu
Muache uchawi chezeni kwa kiwango chenu mnaroga sanaa
Dah kweli una uso wa mbuzi.Yaani kweli umerudi kutetea ujinga wako.Yaani Horoya wachukue milioni 38 wakati wangeshinda na kuingia robo fainali wangepata Bilioni 1 na Nusu?
Mkishiba mihogo mnaropoka tu.
 
Back
Top Bottom